Tuesday, 10 March 2015

Katika Nyanja za Siasa Zitto Kabwe avuliwa rasmi uanachama Chadema
































Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe akifurahia jambo na Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu walipokuwa kwenye kikao cha Bunge hivi karibuni ribuni. Picha na Mkataba  
Habari kutoka vyanjo mbalimbali  hivi punde zinaeleza kuwa Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ametangaza kuvuliwa rasmi uanachama kwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe.
Baada ya Mahakama Kuu Tanzania kanda ya Dar es Salaam leo kutupilia mbali kesi iliyokuwa imefunguliwa na Zito Kabwe dhidi ya Chama Cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) ya kuhoji uhalali wa uanachama wake ndani ya chama hicho…
Habari zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Tundu Lissu ametangaza kuvuliwa rasmi uanachama wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe.
Akitangaza hatua hiyo ya kumvua uanachama,Lissu amesema kanuni na sharia za chama hicho ziko wazi na zinaelekeza kuwa endapo mwanachama yeyote atakishtaki chama hicho mahakamani na iwapo atashindwa atakuwa amejiondoa mwenyewe kwenye chama. Source from Mwananchi News.By Kimena nuhu.



OUCH! INJURIES RISE ON POPULAR INFLATABLE AMUSEMENTS


You may want think twice before you let your kid bounce on an inflatable, according to a new report released exclusively to USA TODAY Network from the Consumer Product Safety Commission(CPSC). Injuries related to large inflatables like moon bounces and slides are on the rise, the federal agency reports after reviewing data from 2003 to 2013. The CPSC estimates there were more than 100,000 injuries associated with the use of inflatables treated in emergency rooms from 2003 to 2013. During that time, the estimated total number of injuries increased from roughly 5,000 in 2003 to more than 17,000 in 2013.
Parents and caregivers need to be aware that there can be serious incidents in backyard and community events with inflatables, Patty Davis, a spokeswoman for the CPSC, told USA TODAY Network. The study defines "inflatable amusements" as air-filled structures with flexible fabric kept inflated by continuous air flow by one or more blowers.  The trend should be seen as a wake-up call for parents. The primary goal of the report is to make parents aware of the risks. Whenever you have something, whether it's a fixed slide or a flexible slide, they have to be used with care, supervision and properly if not, there's an increased chance of injury. However, Tanzanian parents should be aware on the situation.