Vijana
wengi wazidi kujikita katika usafirishaji wa Abiria kwa njia ya Baiskeli mkoani
Tabora jambo ambalo linapelekea kuongezeka kwa ajali za barabarani.Ni vema kwa
ngazi husika za usalama barabarani zione umhimu wa kutoa elimu waendesha
baiskeli hawa ili kunusuru maisha ya watumiaji wa vyombo hivi. Ni kweli
tunatambua wazi kuwepo kwa wimbi la ukosefu wa ajira lakini madhara yake ni
makubwa kwa taifa kwa kupoteza nguvu kazi ya taifa kwa ajali nyigi.By kimena
Nuhu